• Ishara za Swype

    Ishara za Swype ni njia za mkato kwenye kibodi za kukamilisha kazi za kawaida kwa haraka.


    • Kufikia kibodi ya hariri

      Kufikia kibodi ya Hariri, Swype kuanzia %SWKEICON% hadi kwenye kitufe cha Alama (?123) kwenye kibodi.

    • Kufikia kibodi ya nambari

      Ili kufikia Kibodi ya namba kwa haraka, Swype kuanzia hadi nambari 5.

    • Kuficha kibodi

      Ili kuficha kwa urahisi kibodi, Swype tu kuanzia kitufe cha Swype hadi kitufe cha Nafasinyuma.

    • Zima nafasi otomatiki

      Finyaza nafasi kiotomatiki kabla ya neno lifuatalo kwa Kupitisha kuanzia kitufe cha Nafasi hadi kwenye kitufe cha Nafasinyuma.

    • Kuhariri ukubwa wa neno

      Badilisha ukubwa wa neno baada ya kuliingiza kwa kugonga neno na kisha kupitisha kuanzia hadi kwenye kitufe cha Shift . Orodha ya Chaguo za Maneno zenye chaguo za utumizi wa herufi kubwa itaonekana, inayokuruhusu kuchagua herufi ndogo, kubwa au HERUFI ZOTE KUBWA.

    • Vituo

      Njia rahisi ya kuingiza vituo ni kupitisha kuanzia alama ya swali, koma, nukta, au vituo vingine kwenye kitufe cha Nafasi badala ya kuigonga.

    • Teua Zote, Kata, Nakili na Bandika Teua Zote: Pitisha kuanzia hadi 'a'
      Kata: Pitisha kuanzia hadi 'x'
      Nakili: Pitisha kuanzia hadi 'c'
      Bandika: Pitisha kuanzia hadi 'v'
    • Njia za mkato za programu

      Ramani za Google: Pitisha kuanzia hadi 'g; kisha 'm'

    • TafutaAngazia baadhi ya maandishi na Swype kutoka kwenye kwenye S ili kufanya utafutaji wa haraka wa wavuti.
    • Kubadilisha hadi lugha ya mwisho inayotumiwa.Wakati unatumia lugha anuwai, njia rahisi ya kurudi nyuma kwa lugha ya awali ni Kupitisha kuanzia hadi kwenye kitufe cha Nafasi.